Simu za kichina na gprs settings | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu za kichina na gprs settings

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Adm, Oct 17, 2012.

 1. A

  Adm Senior Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwenu wataalam wa mambo ya tech, hebu mnisaidie kuhusu namna ya kuiwezesha simu ya kichina ili iweze ku-access internet.
   
 2. Mkazuzu

  Mkazuzu JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  jaribu hv:kwa tigo ingiza settings zifuatazo,homepage:http://wap.tigo.co.tz,apn:tigowap,proxy:010.168.020.080,port:8080.kwenye DNS acha kama zilivyo,ukishindwa ni PM
   
 3. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mara nyingi kwa voda huwa nafanya hivi naanduka wap nokia 7610 then natuma kwenda namba 15300 au njia nyingine tumia imei namba unayo ipata kwa kubonyeza *#06# then chukua tarakimu yakwanza hadi yanane au tisa
  mfano:
  wap 355098987 tumba kwenda namba 15300 then fuata maelekezo utatumia msg ya kwanza unaachana nayo lakin hiyo msg itakwambia u will soon receive internet config if password request enter 1234
  utatumiwa msg ya pili ambayo inakuja na seting then uta install au utasave kulinga na simu yakoitavo kwambi na itakuletea sehemu ya kuweka password utaingiza 1234 the save baada ya hapo uta furahia net ya voda ila airtell
  unaenda uwanja wa msg unaandika internet then unatuma kwenda namba 232 ingawa sina hakika kama kwako itakubali
   
Loading...