Wana bodi,
Kwa masikitiko makubwa, nimeshitushwa na simu za halotel H6302 ambazo zinauzwa na halotel na mawakala wao nchini.
Simu hizi kwa kuwa ni brand ya halotel, nilitarajia zitakuwa original na hivyo siku tcra wakizima mitambo ya simu fake, basi watumiaji wa simu hizo watakuwa salama.
Chakushangaza sasa, nazo zimo kwenye orodha ya simu zitakazo shindwa kufanya kazi kwa ufake wake.
Nimeangalia kwa kutumia utaratibu wa kutuma imei no kwenda 15090 na haya ndo majibu yake.
"... Hong Kong Garland International Limited - T-max M1,M2 - Kama IMEI haioani na simu yako wasiliana na muuzaji. Usipoweza,ibadilishe kabla ya Juni 2016 kwani yaweza kuzimika...".
Wito kwa ndugu zangu, simu hizo hazioani na aina ya simu hivyo ni matatizo. Tuzieupuke kukwepa hasara. Iwapo ukinunulia ndugu zako vijijini kwa kuamini ni salama, utaumia.
Aksante
Mkuu, simu ni H6302 lkn majibu ya imei niMkuu labda ulitarajia kupata jibu gani?
Nimenunua simu hizi mbili hivyo hofu ninayo. Unless waeleze kwa nini simu iitwe H6302 halafu ukiangalia majibu ya imei iwe tofauti maana inasomeka Hong Kong Garland International Limited - T-max M1,M2Rudi halotel majibu watakayokupa ya attach hapo, maana hivi utakua kama umetumwa...
Nakubaliana nawewe ila hii ishu ni mpya kwaio jibu wanalo wao sio huku na kama ni fake na wewe uliwaambia unataka simu original ni haki yako ubadilishiwe just go back waulize jibu watakalokupa share na sisi.Nimenunua simu hizi mbili hivyo hofu ninayo. Unless waeleze kwa nini simu iitwe H6302 halafu ukiangalia majibu ya imei iwe tofauti maana inasomeka Hong Kong Garland International Limited - T-max M1,M2
Kk umepata hasira niliongea na mfanyakazi wa hallotel alituletea modem ofcn kwetu ss nikaona niondokane na hii ambayo ninavyochati hapa haifiki saa tano nitabadili betri, inasumbua chaji mbaya nitamuuliza pia hii maana anatumia simu hiyoChaji yake pia si nzuri, ukitumia simu kwelikweli hayazidi 48hrs.
Lkn we wa ajabu, wkt mie niliyenunua simu mbili naanza kujuta maana zinasumbua, we unataka kununua.
H8401 ni smartphone inakaa na chaji 24hrs na kuendelea kulingana na matumizi yako.Naenda kuchukua hiyo H8401 muda si mrefu naona inakaa na chaji muda mrefu kama ni siku tatu inatosha