Simu za bei rahisi kutoka Samsung

Simu za bei rahisi kutoka Samsung

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
5,954
Reaction score
4,242
Ni Samsung galaxy A10s na A10
Ni jamii ya tecno

A10s
PLATFORM
OSAndroid 9.0 (Pie)
ChipsetMediatek MT6762 Helio P22 (12 nm)
CPUOcta-core 2.0 GHz Cortex-A53
GPUPowerVR GE8320
A10e
DISPLAY
TypePLS TFT capacitive touchscreen, 16M colors
Size5.83 inches, 83.4 cm2 (~81.4% screen-to-body ratio)
Resolution720 x 1560 pixels, 19.5:9 ratio (~295 ppi density)
PLATFORM
OSAndroid 9.0 (Pie)
ChipsetExynos 7884 (14 nm)
CPUOcta-core (2x1.6 GHz Cortex-A73 & 6x1.35 GHz Cortex-A53)
GPUMali-G71 MP2
Bei: About 160 Euros
 
Hii simu sio jamii ya tecno hakuna A series inayotumia ujinga wa mediatek
Acha kulisha watu matango pori
 
Hii simu sio jamii ya tecno hakuna A series inayotumia ujinga wa mediatek
Acha kulisha watu matango pori
Ndio kwanza naona kwako wewe hiyo Samsung A10s ya Mediatek...nijuavyo mimi Samsung A10 ni chipset ya "Exynos 7884 (14 nm)". Tabia mbaya sana ya kuongopa!
Kuna A10 na A10s Ni simu mbili tofauti.

Na Helio p22 Ni 12nm SOC, Ni nzuri Sana kwenye ukaaji chaji, hasa vile inakuja na 4000mah,

Simu hii itakuwa dhaifu in term of performance compare na A10 ya kawaida na itakaa na chaji zaidi, Bei pia inaweza kuwa rahisi zaidi.
 
Ndio kwanza naona kwako wewe hiyo Samsung A10s ya Mediatek...nijuavyo mimi Samsung A10 ni chipset ya "Exynos 7884 (14 nm)". Tabia mbaya sana ya kuongopa!
Ni A10s na A10e
Makampuni mengi sasa yanatumia mediate
e.g. nokia, vivo,oppo,huawei, HTC nk kwa baadhi ya models
Samsung nao wamejiunga. Kinachotofautisha na tecno hapo ni jina tu
 
Ndio mkuu, jinsi nanometer za transistor zinavyokuwa ndogo ndio jinsi processor inavyokula umeme kidogo.
Sikujua hilo. Thanks
Samsung wameamua kupambana na makampuni ya kichina kutengeneza simu za bei rahisi
"
For now, Samsung will rely on contract manufacturers only for some of its entry-level devices as it aims to expand its presence in India and China where the budget segment competition is quite fierce.
Source | Via"
Kampuni ya Jiaxing Yongrui Electron Technology imepewa kazi.
 
Iyo ni kwa African people
 
tulishalizungumzia hili mkuu, kuna mwengine anaitwa wingtech anaetengeneza xiaomi amepewa device za kutosha na yeye, ndio maana hizi simu zina bugs za kutosha. ila kwenye bei watakimbiza sana maana vitu vingi samsung anavyo homemade kama battery, ram, display, processor etc hivyo ata subsidize na kuwapa wachina wamtengenezee.
 
ni kwa wote mkuu, mtu akinunua A10 haijalishi yupo eneo gani mtengenezaji ni mchina na akinunua s10 haijalishi yupo wapi mtengenezaji ni samsung mwenyewe.
Wanauza iyo Samsung A10 ulaya au USA.
 
SAMSUNG HAWAJAWAHI NA HAITALUJA KUTOKEA KUTUMIA MEDIATEK ACHA UONGO
 
Usiibeze mediatek zipo mediatek zenye powerfuly GPU and CPU sema kwa kwa tecno hawajaanza kutumia Soc kubwa za mediatek.
SAMSUNG HAWAJAWAHI NA HAITALUJA KUTOKEA KUTUMIA MEDIATEK ACHA UONGO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom