Kuna simu bajeti yake ni ndogo ila ina features nzuri na betri imara, ubora wa picha ni HD. Labda kumiliki simu ya bajeti ndogo ni aibu, watu wanataka u superiority kumiliki simu za gharama kubwa. Sasa mbona simu zipo mpaka za bajeti ya kununua coaster. Ukisema simu yako ni ya gharama kubwa na unaona ufahari kuwa nayo kuna mwingine ataiona simu yako ni takataka/toy tu