Heshima kwenu wakuu!
Nahitaji details za simu za bei rahisi (100k - 200k) ambazo zina uwezo wa kurekodi mazungumzo ya mtu pale unapompigia au anapokupigia.
Naomba msaada wenu wa haraka.
Ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.