Kinachofanya simu iwe na ksi ya internet ni technology ya kampuni ya simu hata ukiwa na simu ya 4G haisaidii kwa tz coz tuna 3G tu tena kwa sehemu za mijini tu kwa vijijini ni GPRS/EDGE tu!!! Kwahyo kwa sasa kamata simu ya 3G......ila nunua BB kwasababu ukinunua Nokia na ukaweka 3G hela inatumika sana inaweza kwa siku ukawa unatumia zaidi ya buku jero ambayo kwa mwezi 45 lkn ukitumia BB that means kwa mwezi watumia not more than 20000/=
bro ebu nieleweshe hapa....BB ndo nin???Kinachofanya simu iwe na ksi ya internet ni technology ya kampuni ya simu hata ukiwa na simu ya 4G haisaidii kwa tz coz tuna 3G tu tena kwa sehemu za mijini tu kwa vijijini ni GPRS/EDGE tu!!! Kwahyo kwa sasa kamata simu ya 3G......ila nunua BB kwasababu ukinunua Nokia na ukaweka 3G hela inatumika sana inaweza kwa siku ukawa unatumia zaidi ya buku jero ambayo kwa mwezi 45 lkn ukitumia BB that means kwa mwezi watumia not more than 20000/=
bro ebu nieleweshe hapa....BB ndo nin???
speed ya internet kwa tanzania angalia 3g inatosha maana internet yetu haijawa ya speed hata useme ununue simu ya 21mbps haitasaidia
Kama hutaki simu ya screentouch chukua nokia e6 ina touch na keyboard kiasi unajifunza tumia touch huku zipo button.
Ila jamani sonyericsson imevunja ungo ktk spidi ya internet hata nokia kawekwa shimoni.
Kinachofanya simu iwe na ksi ya internet ni technology ya kampuni ya simu hata ukiwa na simu ya 4G haisaidii kwa tz coz tuna 3G tu tena kwa sehemu za mijini tu kwa vijijini ni GPRS/EDGE tu!!! Kwahyo kwa sasa kamata simu ya 3G......ila nunua BB kwasababu ukinunua Nokia na ukaweka 3G hela inatumika sana inaweza kwa siku ukawa unatumia zaidi ya buku jero ambayo kwa mwezi 45 lkn ukitumia BB that means kwa mwezi watumia not more than 20000/=
speed ya internet kwa tanzania angalia 3g inatosha maana internet yetu haijawa ya speed hata useme ununue simu ya 21mbps haitasaidia
Kama hutaki simu ya screentouch chukua nokia e6 ina touch na keyboard kiasi unajifunza tumia touch huku zipo button.
3G au (third generation) ni mawasiliano ya kizazi cha tatu while 2G or GPRS ni kizazi cha pili ila siku hizi kuna 4G ila bongo hawana mitambo ya 4G.kila aina ya mawasiliano hapo juu yanatofautiana ktk speed
GPRS inasoma 35kbps mpaka 3.4mbps.
3G inasoma 3.5mbps kwenda juu.
4G inasoma mpaka 21mbps na kwenda juu.
So simu zinaweza kuwa zote GPRS ila zikatofautiana spidi,thats why chinese na original zipo tofauti ktk spidi za internet.Any Q?
Asante kiongozi na mimi nilitaka kuuliza swali hilo.[/QUO
sonyericsson k800i na xperia x10i zote nimezitumia na speed iko juu
sonyericsson k800i na xperia x10i zote nimezitumia na speed iko juu