Utashangaa siku moja unaajiriwa huko. Best wish .DPP WORLD [emoji41]
Asante sana kwa kumtagi huyo mtaalam.
Asante ndugu. Ngoja nilifanyie kazi.
Budget kiasi gani?Naomba Msaada wa kitaalam ninunue simu gani yenye Camera Bora inayotoa picha za viwango Vya hali ya juu na isiyopiteza ubora wa picha haraka.
Lengo kuu ni shughuli za kibiashara ambazo asilimia 98 zinategemea picha.
Bajeti sio tatizo maana simu ndio jembe lenyewe linalotupa liziki.
Asante mtaalam kwa kuja. Kwa sasa sijali suala la bajeti bali ubora tuu. Maana nishanunua sana. Nikipata machaguo mawili au matatu nitachagua Mwenyewe.Budget kiasi gani?
Asante sana ndugu. Hivi hizi zipo madukani au mpaka kuagiza?Google pixle 7pro
S21 ultraAsante mtaalam kwa kuja. Kwa sasa sijali suala la bajeti bali ubora tuu. Maana nishanunua sana. Nikipata machaguo mawili au matatu nitachagua Mwenyewe.
Thank you in advance.
ZipoAsante sana ndugu. Hivi hizi zipo madukani au mpaka kuagiza?
Asante ndugu.S21 ultra
Nashukuru sana.Huwawei,
Ooh nilikuwa sijui. Ngoja nifanye window shopping.
Asante mno.. ni heri niumie lakini nipate kitu Bora ambacho kitanisaidia kuzalisha na kurejesha nilichotumia.S23 ULTRA au I PHONE 14 PRO MAX au PIXEL 7 PRO kama bajeti haisumbui kaa humo