Naomba Msaada wa kitaalam ninunue simu gani yenye Camera Bora inayotoa picha za viwango Vya hali ya juu na isiyopoteza ubora wa picha haraka.
Lengo kuu ni shughuli za kibiashara ambazo asilimia 98 zinategemea picha. Bajeti sio tatizo maana simu ndio jembe lenyewe linalotupa riziki.