STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,765
- 7,361
Ni siku NNE tu tangu nimenunua hii simu Tecno WX3, So nikaanza kuitumia huku nikienjoy internet yenye kasi ya nguvu. Sasa nashangaa siku takribani mbili simu inazingua kusoma 3G hali ya kuwa inaonesha full mnara.
So wadau naomba msaada kuhusu hii issue tatizo ni nn au nifanye setting ipi ili simu ishike 3G maana nakosa raha kabisa ya kutumia Internet.
So wadau naomba msaada kuhusu hii issue tatizo ni nn au nifanye setting ipi ili simu ishike 3G maana nakosa raha kabisa ya kutumia Internet.