Chief Umechanganya Amps 1 ni kubwa sana Kwa Simu Range ya simu ni Milliamperemkuu ingia playstore download app inaitwa ampere halafu chaji simu huku hio app umeifungua itakuambia ni kiasi gani cha umeme kinaingia.
kwa smartphone ya kisasa inabidi angalau 1000ma (1A) ndio inatosheleza kucharge upesi upesi.
na zikiwa 1000 hizo milliamper si inakuwa ampere moja? simu za kisasa zote zenye fast charging na baadhi zisizo na fast charging zinavuka hizo milliampere 1000 mfano hii yangu max ni 1800 ambayo ni sawa na 1.8AChief Umechanganya Amps 1 ni kubwa sana Kwa Simu Range ya simu ni Milliampere
kama ina vary inamaana umeme unaotoka kwenye chaja nao pia upo hivyo hivyo mara unakuja mdogo mara mkubwa, minimum inamaana ni kiasi kidogo zaidi kuingia na max ni kikubwa zaidi kuingia, kama ni ariund 400 inamaana simu yako inachukua muda sana kujaa, ikiwa 1000 kupanda ndio inajaa upesi upesi unless simu yako ni ya kizamani sanaMkuu nimedowload hiyo application, na naona hizo namba zinaongezeka kutoka 100+ hadi zimefika 450 ila bado nadhani zilikuwa zinapanda, je kama namba zinabadilika kupanda na kushuka maana yake nini? Je lazima ifike 1000?
Halafu mkuu naona Kuna maximum, minimum, nadhani na actual ambayo inabadilika badilika, je hii tafsir yake imekaaje?
huwa fast charging haziingiliani, huwezi tumia fast charging ya Samsung kuchajia Tecno au huaweiMkuu tatizo lako ni charger tu apo njoo kariakoo kesho nikuuzie fast charger za Samsung nusu SAA tu simu yako imejaa kabisa ni 10000/- za kitanzania kwa charger moja
Kuna app ya namna hiyo kwa window phone, Kama ipo jina lake please
Mkuu ahasante kwa kutoonesha hiki kifaa, je kinaitwaje, na kinapatikana wapi, na kama unajua ni shilingi ngapi hivi na kama chenyewe hakuna feki?jaribu officila app ya battery au app inaitwa aida64 sema zinaonesha kwa percentage na sio actual ampere
alternative tafuta hardware solution unanunua kifaa kama hiki
hapo unachomeka tu chaja itakuambia specs za hio chaja kwa volts na amps then utajua kama ni chaja nzuri ama la, kizuri sana kwenda nacho dukani wasikuuzie chaja feki
Hivi hizi fast charging hazina madhara kwenye simu? Na je ni fast huwa inachukuwa muda gani na ya kawaida inachukua muda gani pia?huwa fast charging haziingiliani, huwezi tumia fast charging ya Samsung kuchajia Tecno au huawei
kama ina vary inamaana umeme unaotoka kwenye chaja nao pia upo hivyo hivyo mara unakuja mdogo mara mkubwa, minimum inamaana ni kiasi kidogo zaidi kuingia na max ni kikubwa zaidi kuingia, kama ni ariund 400 inamaana simu yako inachukua muda sana kujaa, ikiwa 1000 kupanda ndio inajaa upesi upesi unless simu yako ni ya kizamani sana
kwa hapa sifahamu kama vipo ila ebay vipo bei ya kutupaMkuu ahasante kwa kutoonesha hiki kifaa, je kinaitwaje, na kinapatikana wapi, na kama unajua ni shilingi ngapi hivi na kama chenyewe hakuna feki?
Hi
Hivi hizi fast charging hazina madhara kwenye simu? Na je ni fast huwa inachukuwa muda gani na ya kawaida inachukua muda gani pia?
Ahsante mkuu nimekupata. Ila naweza pia tumia hii application ya Ampere kupima uwezo wa charger sio ninapokwenda dukan, kiasi kwamba kama ina charge chini ya 1000 haifai, au kama inbadilika badilika pia haifai?kwa hapa sifahamu kama vipo ila ebay vipo bei ya kutupa
Current charger usb | eBay
kwa hapa kwetu mafundi wanakuwa navyo kama hivyo ila umbo lake linakuwa kubwa unaweza tafuta fundi wa simu akuelekeze wananunulia wapi.
ndio mkuu unaweza na hii ni bora pia sababu inapimia kwenye simu yako,Ahsante mkuu nimekupata. Ila naweza pia tumia hii application ya Ampere kupima uwezo wa charger sio ninapokwenda dukan, kiasi kwamba kama ina charge chini ya 1000 haifai, au kama inbadilika badilika pia haifai?
Ahsante sana mkuu, nitatumia mbinu hii kuchagua chargerndio mkuu unaweza na hii ni bora pia sababu inapimia kwenye simu yako,
baadhi ya chaja huchagua simu hivyo kuipima na kifaa kama hicho inaweza kuwa nzuri ila ikija kwenye simu yako ikawa mbaya
nina chaj ambayo inachaj cm harakJaman mbona mm cm yangu inachukua muda mwingi kujaa chaj kama maa8 nifanyeje ijae haraka
asante sana -mkwawakwa hapa sifahamu kama vipo ila ebay vipo bei ya kutupa
Current charger usb | eBay
kwa hapa kwetu mafundi wanakuwa navyo kama hivyo ila umbo lake linakuwa kubwa unaweza tafuta fundi wa simu akuelekeze wananunulia wapi.