hqssqn ammizy
Member
- Apr 14, 2017
- 17
- 9
- Thread starter
- #21
Natumiaga kwa cku nzima bila kufungua data nikifungua masaa5 hvhapo kuna mtatizo mawili la kwanza linaweza kuwa charger yako current ni ndogo la pili linawza likawa betri swali je ikijaa hiyo simu unatumia kwa muda gani