Simu yangu inakataa ku-update kwenda ios 14.7.1

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Habari za muda huu simu yangu inakataa kubonyezeka hayo maandishi ya kuupdate ili nipate ios ya 14.7.1 nimesha connect na WI-FI. halafu kingine hizo mb 900 naona kama ndogo maana mm naios ya 14.6 ili niende ya 14.7.1 hapo lazima kuwe na GB zaidi ya 2.

Kuhusu kutumia itunes kuupdate maeneo nilipo kupata computer au laptop ni mtihani maana nimetafuta sana nimekosa mwenye ujuzi naomba anisaidie kwa hili asanteni.
​

IMG_0062.png
 
hakikisha network ni nzuri,halafu simu isiwe imejaa.

isijekuwa una gb 16 halafu umeshafagia 15gb.
kuhusu mb 900,hizo ni additional updtates sio major updates,umelimbikiza.
huwa zinakuja kwa magungu mafungu mb 250,mbe 390,usipo update ndio zinafikia hapo.
 
Asante sana nimekuelewa na nimesha weza ku update
 
Habari za muda huu simu yangu inakataa kubonyezeka hayo maandishi ya kuupdate ili nipate ios ya 14.7.1 nimesha connect na WI-FI. halafu kingine hizo mb 900 naona kama ndogo maana mm naios ya 14.6 ili niende ya 14.7.1 hapo lazima kuwe na GB zaidi ya 2.

Kuhusu kutumia itunes kuupdate maeneo nilipo kupata computer au laptop ni mtihani maana nimetafuta sana nimekosa mwenye ujuzi naomba anisaidie kwa hili asanteni.
​

View attachment 1904149
Ulinunua wapi hii simu?
 
Back
Top Bottom