Habari zenu,
Nilikua natumia vizuri tu gbwhatsapp kwenye simu yangu halafu siku hizi ikaanza kuniletea alert kua niupdate,mwanzo ilikua inafunguka bila hata ya kupdate lakini sa hivi haifunguki kabisa yani ni lazima niupdate ndio niendelee kutumia.Sasa nimeinstall apk (updated) lakini inagoma kuinstall,sasa sijui tatizo ni nini wakuu