Simu yangu inagoma 3G network

Simu yangu inagoma 3G network

mbweta

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
600
Reaction score
81
Naombeni msaada wenu.Ninatumia LG_P970 inatumia android kama OS tatizo langu kubwa simu yangu saiz ipo slow sana hasa kwenye internet connection tofauti na hapo mwanzo ambapo nikitumiwa file kwenye watsapp au sehem nyingine inatumia mda mrefu kudownload tofauti na zamani file la 4mb ni dakika chache lakini saiz mpaka kumi huko, file la 10mb hapo masaa. Nilianza chezea setting za internet gusa hapa badilisha pale lakini wapi lakini wenzangu bado internet ipo fasta.Tatizo nililo liona kwa urahisi nikwamba saiz 3G kwangu haikubali inakubali tu EDGE, pia jumapili niliona sms kutoka tigo kuwa kama inataka kufamya smartphone yako kuwa smarter inabid kunua bundle ya tsh30,000 kwa mwezi.Je tatizo lipo kwangu au ni mabadiliko kwa wote?
 
labda umeset 2g,JARIBU setting>wireless+networks>mobile networks>disable 2g only



au umeinstall apps zinazohifadhi battery,huwa zinazuia 3g
 
Hapo nimejarib sana kubadilisha kutoka kwenye 2g kuja kweny 3g ila inagoma ila kuna mda niliwahi attempt kufanya setting kwaajili ya kusave battery
 
make sure eneo ulilopo 3G network inapatikana
 
kaka inawezekuwa tatizo ni network jarib kubadil mtandao uone kama hamna mabdlko
 
piga *#*#4636#*#* alafu chagua phone information baada ya hapo shuka chini na kwenye fisrt option chagua wcdma only
 
Back
Top Bottom