Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Mwenyewe amekiri mkubwa kuwa pics zikiwa kwa memory card ndo zinaleta marangirangi,akibadili storage into phone memory zinakaa sawa..Na kama cm yake haina memory card mrembo?
Mwenyewe amekiri mkubwa kuwa pics zikiwa kwa memory card ndo zinaleta marangirangi,akibadili storage into phone memory zinakaa sawa..Na kama cm yake haina memory card mrembo?
Kweli techno siyo simuNikiwaambia techno sio simu mnakataa, haya sasa
Hiyo inategemeana na setting zako. Inaweza kufanya hivyo hata ikiwa na 50%, kutegemeana na ulivyoweka. Memory card nyingi ni za kimágushi( fake). Kiutaratibu inatakiwa ununue ikiwa na memory card yake, lakini wabongo wanatoa ili wafanye biashàra nyingi. Hata battery ya pili wanatoa maana cm zinakuwa released na battery 2, memory card 1, earphone jack 1 na charger 1Werrason; Umecheka lakini Tecno C8 kama ipo kwenye Standby Intelligent Power Saving ikiwa na 4% charge inazima apps karibu zote ninaitumia sasa ni miezi 9.
Lkn jamaa kasema ukweli tuAcha kujishaua kijana, usifikirie hata sie hatupendi iphone na misumsung galaxy ni uwezo tu hauruhusu, usizodoe sana wenzio.
OkKweli techno siyo simu
Tecno ndo simu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kweli techno siyo simu
Tecno ndo simu
mkuu kwa msaada wa haraka jaribu kuwa unatumia memory yako inayofanya kaz kama kawaida then ukishapiga picha zako, then nenda kwenye file manager unazi move kwenda kwenye memory cardHabari wana jamvi mwenzenu ninapata wakati mgumu sana kuelewa tatizo la simu yangu. Picha nikipiga zinapigwa vizuri lkn baadae ukirudi kuziangalia unakuta zina marangirangi ya blue ama wanakuletea vimaneno kuwa can not generate thumbnails. Ntaweka hapo chini sample yake maana imefika hatua napata hasara tuu. Ila nikichange storage ziwe kwenye phone zinakuwa poa ila kwenye memory card zinapata hilo tatizo. Je nn chanzo na je nifanyaje, maana nilijaribu hata ku format lkn wapi... Naomba msaada natumia Tecno C 8![]()
asante kwa wazo lako ndg but hata simu ikiwa na 100% fully charged but leo nimejaribu kutoa memory card nikahamisha vichache nikaiformat now iko poa sana thanksHapo ni either chaji au virus kwenye memory card
ni memory card tu ndo chanzo cha hilo tatizo?,mi niliface hilo tatizo lkn jamaa akaniambia nitoe memory card na nlivyotoa tatizo limeisha mpaka saizasante kwa wazo lako ndg but hata simu ikiwa na 100% fully charged but leo nimejaribu kutoa memory card nikahamisha vichache nikaiformat now iko poa sana thanks