Tatizo la simu yangu Infinix hot 7

Tatizo la simu yangu Infinix hot 7

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,027
Reaction score
33,003
wakuu simu yangu inatatizo kutoleta calls kwenye kioo yan utakuta natumia alafu hapo hapo mtu akinipigia hailet sehemu ya kupokelea ..bali itaendelea kuita tuu lkn kupokea huwez naomba mnisaidie kutatua tatizo hili sababu watu wanajua Nina jeuri kumbe sio
 
Restore, ikigoma last option ambayo ni 100% works flash.

Kumbuka kuleta feedback.
 
Back
Top Bottom