Simu yangu Ina-stuck kila wakati

Simu yangu Ina-stuck kila wakati

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
Wakuu ninaomba msaada,natumia iPhone 3G,kila ikifika jioni inastuck mara kwa mara hadi nakosa raha,sasa sijui ndo inaelekea kufa au kunatatizo la kutatua???pia nimegundua inatokea kuanzia saa 18:00hrs hadi asubuhi na hutokea Zaidi nikiwa eneo Fulani hivi.tafadhali naomba msaada wakuu
 
model number ?
ios version software?
modem firmware number?
 
model number ?
ios version software?
modem firmware number?
Model no.MB489B
ios version software 4.2.1(8C148)
Modem firmware number 05.15.04
Naomba msaada wako Mkuu
 
munisaidie wakuu,nimekwama:heh::heh::heh::heh:
 
jarb kyuscan alaf angalia thret coz huwa znainterfear uwezo wa kufanya kaz hasa peograf ambazo mda wote znakua znafanya kaz ziuninstal
 
Asante Kwa ushauri Mkuu
 
angalia version unayotumia. puguza vitu kwenye simu yako. nahofia utakua umedownload mambo mengi na kusave kwenye simu yako ikiwemo games. mia
 
That Model is a UK Iphone
You may need to Upgrade to Ipad Basband 06.15.00 then jailbreak and then unlock.
before you do this try and restore with 4.2.1 Ipsw from apple using tiny umbrella .
If you dont understand what am talking about ...ipeleke kwa fundi wa iphone mzuri
 
Mkuu. Mpango mzima wa kustack upo kwenye hizi smartphone sana cha msingi kama alivyo comment mchiz hapo juu punguza applications especially games an pia make sure unapo maliza kutumia application make sure ume exit sio kubonyeza home key moja kw moja m natumia samsung galaxy s nilisha sumbuliwa sana mpaka kuja kujuwa tatizo
 
umenisaidia na mimi mkuu,shukrani.!
 
Mkuu. Mpango mzima wa kustack upo kwenye hizi smartphone sana cha msingi kama alivyo comment mchiz hapo juu punguza applications especially games an pia make sure unapo maliza kutumia application make sure ume exit sio kubonyeza home key moja kw moja m natumia samsung galaxy s nilisha sumbuliwa sana mpaka kuja kujuwa tatizo
Nashuru
 
Nashukuru sana Mkuu,umenisaidia sana,nilishakata tamaa....!!!!
NashuruKu
 
Hiyo iphone inakama miaka mitano bado inajituma sana
 
Back
Top Bottom