spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Simu yangu, Samsung galaxy 7.0 tab imefungwa baada ya mtoto wangu kuchezea security pattern. Anadai aliingiza gmail address ambayo haikumbuki na aina fulani ya pass word (nayo hakumbuki). Kila nikiwasha inatoa security pattern lakini sijui njia ya kuifuata. Naombeni msaada wa kuifungua.