Hivi wana-JF inawezekana ukawa unapiga simu au kutuma SMS kwa mtu halafu inaingia kwenye simu ya mtu mwingine? Nimeshangaa kukuta SMS zangu zimeingia upande wa pili, pamoja na kwamba kule zilikokuwa zinakusudiwa kwenda zilifika!! Siku zingine una-beep upande mwingine ghafla mtu yule unayehisi kwamba huwa ameunganishwa kupokea pia simu zako naye ana-beep, hii imekaaje wakuu?
Lakini huwa namhisi jamaa yangu anayefanyakazi kwenye kampuni ya simu ndo kafanya madudu hayo. Sheria inasemaje kuhusu kuingilia mawasiliano ya faragha ya mtu mwingine? Naamini hapa JF kuna wanasheria watanisaidia ili nichukue hatua!!
Ingia kwenye setting ya simu yako cancel all diverts!!
kwa msaada zaidi mimi nashauri ukutane na customer care watakua na jibu sahihi zaidi kama shida yako ni hiyo
Google for spyware installed on mobiles. Something may have been installed on your phone. As suggested above contact your customer care but not sure if they will be able to fix it unless the problem is happening throughout their network. Kama jamaa yako anayefanya, kwenye hiyo kampuni kafanya hivyo, kwa sababu zipi? Are you on good or bad terms? You will need evidence to show that your privacy has been breached. Kama unahitaji ushauri wa kisheri on this then, sidhani hili ni jukwaa sahihi.
sio lazima iwe imeinstalled kwenye cm yake akijua namba yake tu anainstall kwake na anapata data zote mkuu.
na mm nahisi huyu jamaa kaingilia privacy za mtu
Privacy Bongo wapi na wapi mkuu. Lakini kuna sababu kwa nini jamaa kamfanyia vile.