Ludanha
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 552
- 647
Habari humu ndani.
Nina huawei ascend Y300 nilikuwa natumia laini ya tigo siku zote ila leo nimejaribu kuweka laini ya voda nikaiwasha ila ikaniomba niweke PIN NETWORK UNLOCK CODE sikuwa nazijua sasa nikawa nimejaribu hizi1234 na 0000 ila zote zikakataa na ikanipa ujumbe kuwa SIM UNLOCK BLOCK hata nikiweka laini yoyote ile haifanyi kazi.
Naomba mnisaidie je nifanye nini au nikiflash naweza nikafanikiwa?:confused3: