Restart simu... Ikishindikana restoreNi wiki la pili sasa simu yangu camon 16s inakua na tabia ya kuzima mwanga nikiwa napiga na cwezi fanya lolote mpaka niombe niliyempia akate yy ndo mwanga unatokea!!
Naombeni msaada kwa hili tatizo
Umerestore pia???Daah nshafanya haayo yote ila bilabila
Hii sio solution mkuuTecno sio simu![]()
Post namba 7 ndio jibu la ufumbuzi, hiyo sensor ipo juu kwenye kioo cha simu.Hapo hakuna namna kaka ndo inaelekea kufa hiyo,tatizo kama hilo lipo ktk infinix smart 5,wengi sana wanalia na hilo janga mfano mke wangu ilimtokea akipiga tu simu mwanga unazima na watu wengi wakawa wamefahamu tatizo hilo kila akimwambia aliyempigia akate wakawa hawakati simu yaani ikawa full utani hadi alipoiuza bei hasara.kwa hiyo mleta mada usitegemee solution ya tatizo lako ni bora ujipange kununua toleo jingine la tecno
Wengine badala watoe suluhisho wananza Utani wa Tecno seriesPost namba 7 ndio jibu la ufumbuzi, hiyo sensor ipo juu kwenye kioo cha simu.
Kawaida ya redio zilizochangamkaNi wiki la pili sasa simu yangu camon 16s inakua na tabia ya kuzima mwanga nikiwa napiga na cwezi fanya lolote mpaka niombe niliyempia akate yy ndo mwanga unatokea!!
Naombeni msaada kwa hili tatizo
Hapo shida ni protector ina mpasuko au vumbiOk poa ngoja niibadili protector then nitaona km shida inaendelea au vp
kama ina screen protector ibandueDaah nshafanya haayo yote ila bilabila