Kibishi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,139
- 1,040
Habari gani ?
Siku hizi kila mtu ana shauku ya kupata maarifa mapya. Maarifa hayo pia hupatikana kwenyesimu zenye internet. Hamna kitu kibaya kama mtu utamu umekolea halafu battery linaisha ghafla.
Sema ukweli wako,unatumia masaa mangapi unapoanza kuperuzi mwanzo hadi mwisho?kwa kutumia simu aina gani?