Simu ya wife

Hiyo ni disqualification ya kuwa nawe katika ndoa, in other words yeye hakutambui wewe kama mumewe, which implies that hapo ulipo unaishi na mke wa mtu bila kujijua,

Hapo unamtunza ng'ombe then wenzako wanakuja kukamua maziwa huku wewe umewashikia mapembe
 
Maamuzi yako binafsi ni muhimu.....ila kama huitaji kuendelea kuishi naye basi astahili adhabu yeyote zaidi ya kuchukua kilicho chake na kusepa!
Kama unahitaji kuendelea kuishi naye ni vema kufanya kitachokupa auheni na kupunguza machungu ama hasira, hivi vyaweza kuwa kutokumjali tena, kipigo cha mbwa koko, kutokushare naye chochote kwa muda utakao...kikubwa ni kupunguza machungu ndo muende sawa! Ila ubabe kwenye hili ni lazima Broo vinginevyo atakufanya bikini!
 
pole sana kama kasave mmewangu chukulia poa tu hilo ni jina kama yalivyo majina mengine huhuhuuu
 
Umeuliza wana uhusiano gani?acha mawenge tulizana.
Wewe una namba ngapi za wanawake kwenye simu yako?
Nenda polepole uongo utajitenga tu na ukweli utaonekana..
Relax
Ukimwi hauji pole pole!
Majibu sahihi ni muhimu kupatikana on time and no delay, huyo mwanamke ni muhalifu kama muhalifu mwingine!
 
mwanamke mwenzie amsave 'mume wangu'.
Huu urafiki wa kisasa siuelewagi.

Umeuliza wana uhusiano gani?acha mawenge tulizana.
Wewe una namba ngapi za wanawake kwenye simu yako?
Nenda polepole uongo utajitenga tu na ukweli utaonekana..
Relax
 
kwa hiyo.mume akiwa na.kibamia suluhisho ni kuchepuka?

Wanamme mna kazi sana.

Kama nimezoe kupigwa miti nasikilizia kooni nakuja kutana na kitu konagusa juu juu unategemea what next?
 
delete tu hio namba then maisha yaendeleee
 
ukome kupekua simu ya mwenzio.... kwa hiyo umetoa wapi guvu za kuandika uzi ? nataka kuamini wewe unashida kitandani au mbahili au mchoyo au unakibamia ndiyo maana ujachukua hatua mpaka sasa kwa kuwa anakufichia siri
Mamito kuwa mpole, kwa vile wewe upo mjini jaribu kupiga namba zifuatayo ukianzia na 0 hadi 9 mwishoni utampata huyo omary (0718 178 87(.). Ukimpata mtafazalishe aachane na mke wa huyu jamaa ukimpiga mkwara kuwa ana miwaya. Nitakushukuru kwa msaada huo. Baadaye usisahau kuleta mrejesho hapa jamvini
 
Fanya uchunguzi kubaini kinachoendea na uwe umejipanga kwa kusikiliza moyo wako nini cha kufanya, mana maamuzi yoyote yatategemea na wewe, huenda na wewe una mapungufu hivyo kuomba hukumu jf kwa ajili ya mkeo kabla ya kujua sababu za yy kufanya hivyo ni kutomtendea haki.
 
Haya nenda sasa kamsaidie kumpata huyo ommy,manake naona unang'ang'ania ukimwi huku umesahau ulipitia vingapi mpaka hapo ulipokuja kugutuka na kupata elmu ya Ukimwi,
Ukimwi hauji pole pole!
Majibu sahihi ni muhimu kupatikana on time and no delay, huyo mwanamke ni muhalifu kama muhalifu mwingine!
 
 
Last edited by a moderator:
Hivi badoyupo humu Kumbe? Piga hilo jizi
 
Naomba niulize tu, ni mke halali wa ndoa?
 
Kama ulipanga kumpiga hapa ulikuja kumtangaza au?
 
Last edited by a moderator:
Tulia hilo jina sio la mwizi, ni joker. Mie mwenyewe kuna wadada nimewasave honey lakini ni washikaji tu. Namba za wezi siku hizi zinakaa kichwani hazisaviwi kwenye simu wewe. Sana sana huyo ni mlinzi wako indirectly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…