Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,092
Sasa ushahidi ulikuwa nao mkononi, unakuja kuuliza JF badala ya kumuuliza muhusika?? Naona kama uwezo wako wa kusolve matatizo ni mdogo sana na kama mkeo kakugundua hivyo hakika umekwishaa.....!!
Ushauri mwingine ni wazi kabisa huna akili ama we ni -----!Kiranga komooooooo.........................
Ndo ujue kwa nini wife anaificha ficha simu yake na hataki uione. Nawe ilibidi uiogope kama ukoma kuepusha ajali kama hizo ona sasa utapungua kilo bila kupenda.
Ushauri: Nenda nae na umuulize taratibu na kiustaarabu kama unakunywa mipombe hakikisha haugusii hili suala ukiwa umelewa mana utakuwa unauliza huku unaogopa ogopa
BT: KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI.
Labda ndio jina la huyo ndugu la utani bwana. Relax ufurahie maisha. Na weww ficha simu yako ili ufurahu
ukute Omary A. Hakika naye kaoa.
Ila Ommy liko kimahaba zaidi kuliko la mtoa mada.