Simu ya tecno inawaka na kuzima yenyewe nikiingia facebook

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,420
7,775
Habari zenu wakuu,
Mi natumia simu ya tecno, siku za karubuni imeleta shida kidogo, ukiingia Facebook simu inajizima na kujiwasha yenyewe,,
Na sio mimi tuu kuna jamaa nafanya nae kazi nae imemtokea kama mimi na anatumia tecno,
Naomba kujua nini tatizo wakuu
 
Mchezo ni Mdogo Tu
Download Firmware Ya Tecno Yako Kisha Download SP Flash Tool
AFu Download MTK Driver Kisha Utaiflash na Itakuwa Poa
Tecno Huwa Zinakufa Sana Firmware Zake
 
Mchezo ni Mdogo Tu
Download Firmware Ya Tecno Yako Kisha Download SP Flash Tool
AFu Download MTK Driver Kisha Utaiflash na Itakuwa Poa
Tecno Huwa Zinakufa Sana Firmware Zake
Asante kwa ushauri wako mkuu, ntaufanyia kazi
 
Mchezo ni Mdogo Tu
Download Firmware Ya Tecno Yako Kisha Download SP Flash Tool
AFu Download MTK Driver Kisha Utaiflash na Itakuwa Poa
Tecno Huwa Zinakufa Sana Firmware Zake
Naomba kujua hiyo Firmware unaidownload kutoka wapi, Playstore? Vilevile simu ya mke wangu ina tatizo hilo pia, ni tecno m3
 
ikiwa simu uliangusha au kupata mtikisiko. iyo ni related hardware loose unapochange software bado haitakubali unaweza change na tatizo likaanza lingine. jaribu kudownload facebook app ingine kutokana na facebook kureport
 
tupe darasa mzee, tafadhali
uyo jamaa anachange launcher tu inakua na muuonrekano wa simu fulani tu.
akiroot anaweza weka boot screen ya sumsung au hata atavyo penda.
kuupgrade android version inahitaji simu iweinasupport version pekee. na rom ni kwa simu husika pekee huwezi weka rom ya samsung kwa tecno. kutokana na hard ware.
.unapoweka ROM ya isiyocompatable simu inaweza kufa kabisa isiwake wala kuonekana na computer,
 
Luncher Nazijua kaka Na Pia Luncher Haiwezi Kupandisha Android Virsion Wala Ku-expad storage Katika Simu
mimi NAbadiri Kabisa Firmware Inakuwa firmware nyingine
Soma vizuri mtandaoni utaonaaa
simu naipandisha android virsion Yake Pia kama ilikuwa 4.... naifikisha hadi 5
Ndio Nakubali Simu Ukiiwekea Firmware ambayo sio sahihi huwa inakufa nikweli lakini kinachokufa ni boot loader tu ambayo kwa siku hizi hakuna simu inayokufa maana bootloader unaweza kuitengenezea ama kuifufua kabisa kama ilikufa
kasoro simu za kampuni la huawei tu maana zile sio Mtk zinatumia spd bado sina ufumbuzi kama bool loader yake inaweza kufufuliwa.
Na Pia Simu Inapokufa kwa kuwekewa firmware isoyo sahihi kinachokufa ni bootloader ambayo ndio kama msingi katika simu
so nilichozungumza hapo juu ni uhakika na ninakielewa na nimekifanya.
hata samsung ambazo ni zinakuwa na android virsion ya 2... hasa zile portable mie nazipandisha mpaka lolpop bro
so ni ujuzi tu upo wala usione jambo la ajabu fungua mtandao na peruzi utajifunza mengi
 
ikiwa simu uliangusha au kupata mtikisiko. iyo ni related hardware loose unapochange software bado haitakubali unaweza change na tatizo likaanza lingine. jaribu kudownload facebook app ingine kutokana na facebook kureport

HIlo tatizo sio kuanguka simu kama hizo nakutana nazo sana
ni software inakuwa korpted tu
anaweza pia kutangulia kui-restall ikigoma ndio abadili hiyo firmware kabisa

na pia hata simu ikianguka haiwezi kuaffect utendaji kazi wa baadhi ya application ila simu yaweza kuwa yenyewe affected either katika camera ama nertwork ama sauti ama kupata moto
so kuanguka kwa simu hakuwezi kupelekea app moja tu ikazingua
lazima utambue relation ya hardware + software + application na utendaji kazi wote wea simu kwa ujumla
 
Back
Top Bottom