Ni mambo yao ya kifamilia mimi sipaswi kujua ila sijaaminimkuu ungemuuliza hayo mazungumzo ya siri na familia yake ni yapi!
Bora ya presure kuliko ukimwiHaya mambo ya kudivert simu ya mupenzi bado yapo? Kama hujawahi kuugua presha usiitafute mkuu
Bora ya presure kuliko ukimwi
una mpango gani na huyo mwanamke kama mna mipango ya pamoja sioni sababu ya kuwa na siri ya familia yao...angalia siri ya familia yaweza kuwa wanamtafutia mme huko na wewe unasema siri ya familiaNi mambo yao ya kifamilia mimi sipaswi kujua ila sijaamini
asanteNdugu, ya nini kuhangaika na mambo ya mpenzi wako? Wewe hangaika na kutafuta Fedha tu. Fedha zikusumbue, na mwanamke pia akusumbue? Angriiiiiii!
Kinachotakiwa ujiepushe na kumfuatilia fuatilia na kuliza uliza maswali, utaepusha mengi.
Ukimuona ana simu hata 3, au ana namba ambayo wewe huijui usimuulize kitu, wewe zingatia tu jinsi anavyotimiza majukumu yake katika penzi lenu.
mkuu ungemuuliza hayo mazungumzo ya siri na familia yake ni yapi!
Simu ya siri haya makubwa, familia gani sasa anazungumzia wakati mke wako.
Habari wana ukumbi, naomba tupeane mawazo na ushauri juu ya hili, simu ya mpenzi nimeidivert na call recordings akashtuka sasa majuzi nimebamba na simu nyengine na line nyengine ambayo hutumika mimi nikiwa sipo, anasema ni ya mazingumzo ya siri kati yake na familia yake. Tupeane ushauri mimi limeniumiza kichwa
nilidivert baada ya kuona dalili za cheatinng na moja nilifaulu kuizimamapenzi ya siku hizi bila kugombana hayana stim,
pia ni ruhusa kushikana ila si kushikiana simu.
Hukufanya jambo jema kudivert namba yake kila mtu huhitaji privacy si lazima privacy iwe kwa ajili ya kucheat kuna mambo ya kifamilia zaidi.