Simu ya samsung s6+inahitajika

Simu ya samsung s6+inahitajika

tundu007

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
260
Reaction score
136
Habari zenu wakubwa shikamoo!wadogo mambo vp!namiliki samsung s6!lakini nahitaji mwenye s6+tufanye kubadilishana na nimuongezee pesa!anitajie ofa nzuri nipo tayari kama yupo inbox itatuhusu!asanteni!.
 
abary zenu!!wakubwa shikamoo!wadogo mambo vp!namiliki samsung s6!lakini nahitaji mwenye s6+tufanye kubadilishana na nimuongezee pesa!anitajie ofa nzury nipo tayary!!kama yupo inbox itatuhusu!asanteni!.
siku nyengine sema pm siyo inbox
 
Habari zenu wakubwa shikamoo!wadogo mambo vp!namiliki samsung s6!lakini nahitaji mwenye s6+tufanye kubadilishana na nimuongezee pesa!anitajie ofa nzuri nipo tayari kama yupo inbox itatuhusu!asanteni!.
Tecno spark
Model: K7
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom