Wataalam
Nimejuzwa na wadau leo kwamba simu aina ya Samsung inaweza kuzima au kuwasha Tv aina ya Samsung.
Hata hivyo mdau hakuniambia kama ni Samsung smartphone au aina zote.
Binafsi natumia Samsung, lakini sijajaribu, aidha sijajua jinsi inavyofanyika.
Kuna mdau aliyepata kusikia hii teknolojia atujuze?
So far ambazo nimetumia kama remote za dvd tv na dvd ni galaxy note 2, 3 na galaxy s4. Matoleo mengine sijajaribu. (Lakini naamini inawezekana as long as ni smartphone) Unachotakiwa kufanya ni kuinstall application yake n iliyo nxuri ni smart tv remote. NB, ziko application nyingine ni universal ambazo waweza kutumia kwenye tv na dvd na hata ac yoyote ila zinatumia wifi
View attachment 138040
Ninaitumia kwa Alba tv na Hitach tv,inafanyakazi vizuri sana. Hakikisha divice zako ziwe orignal.
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
Wataalam
Nimejuzwa na wadau leo kwamba simu aina ya Samsung inaweza kuzima au kuwasha Tv aina ya Samsung.
Hata hivyo mdau hakuniambia kama ni Samsung smartphone au aina zote.
Binafsi natumia Samsung, lakini sijajaribu, aidha sijajua jinsi inavyofanyika.
Kuna mdau aliyepata kusikia hii teknolojia atujuze?
Mkuu mbona mimi JF siipati Kwa tapatalk? Nikitumia search option..
Mambo ya infrared yanarudi tena
Inaitwaje hivyo software. Pls naombeni address take bas
Uko sahihi, ni typing error niliyofanya. Nilikusudia 3 tu ambayo ina infra red capability ambapo note 2 haina.Kwenye Nyekundu hapo sio kweli na haiwezekani.