Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
Shopee ila Inataka ushikwe mkono na mtu a verify no ya simu ya Malaysia.Sorry chief, ni site gani hizo za Malaysia/Singapore?
Alternative tumia site za mtaani (ni risk)
Mimi nilinunua yangu hapa
Factory Mobile – Phone Repair, Wholesale & Retail
factorymobile.com.my
Unapata simu nyingi tu za SD 835 chini ya laki 2 na sd 845 chini ya laki 3.
Pia utahitaji forwarding service kama shop and ship kukitoa Malaysia Kuja hapa.