Simu ya kisasa kali kuliko zote

Simu ya kisasa kali kuliko zote

sijui cooling system yake ikoje maana heat itakayokuwa inatoka hapo ni zaidi ya server
 
Labda ina kafeni kakiaina
Maana tatizo hapo ni cooling system itakayoweza kupoza ukilinganisha na udogo wa umbo la simu yenyewe
 
Kwa teknolojia tunayoiendea posibility ya kutengeneza Poa
mkuu ukisikia simu yako ina 2.5ghz usifikiri inarun kwa 2.5ghz bali muda mwingi inakaa 300mhz hadi 1ghz ndio maana unaona imepoa.

hakuna simu yoyote duniani kwa sasa inayoweza kukaa kwenye max clock kwa muda mrefu zinahit tu hio max clock kwa muda mchache kama sekunde 30 then zinadrop.

angalia hii graph
Snapdragon-810-throttling-3.005-980x735.png


hivyo ndio soc za simu zinavyofanya kazi.

sasa kama soc moja tu hadi leo hatuwezi kuifanya isipungue speed kwa joto je mbili kwa pamoja tutaweza?
 
Xiaomi bezel mix ndo beast ktk industry sasa hivi so far. Youtube it
upload_2016-11-1_8-49-24.png


Naona ziko matoleo mawili

Xiaomi Mi MIX 4GB 128GB - $699.99

Xiaomi Mi MIX Pro 6GB 256GB - $799.99

Pre Sale ni Oct 29 hadi Nov. 15, Release date Nov. 4
upload_2016-11-1_8-56-16.png



Main Features:

Display:
6.4 inch edgeless design with 91.3 percent screen-to-body ratio ( 2040 x 1080 screen )
CPU: Snapdragon 821 Quad Core up to 2.35GHz
GPU: Adreno 530
System: MIUI 8 ( or MIUI 8 above )
RAM + ROM: 6GB RAM LPDDR4 and a whopping 256GB storage
Camera: 16.0MP rear camera with 18K gold rim around + 5.0MP front camera
Sensor:
Accelerometer, Ambient Light Sensor, E-Compass, Gyroscope, Hall Sensor, Proximity Sensor, Barometer, Vibration Motor
SIM Card: Dual nano SIM
Feature: GPS / A-GPS / Glonass / Beidou / NFC / UFS 2.0 / Quick Charge 3.0
Bluetooth:
4.2, Bluetooth HID ( HID: Human Interface Device )
Networks:
WiFi:
802.11a/b/g/n/ac, WiFi Display, WiFi Direct
GSM: B2 / B3 / B5 / B8
CDMA: 1X / EVDO BC0
WCDMA: B1 / B2 / B5 / B8
TD-SCDMA: B34 / 39
FDD-LTE: B1 / B2 / B3 / B4 / B5 / B7 / B8
TD-LTE: B38 / B39 / B40 / B41
 
hizo kamba tu na nyie mnaamini, simu yenye highend soc moja tu ni ngumu kuipoza hadi makampuni yanapoza simu kwa maji siku hizi, sembuse wao waeke soc mbili? labda wanatengeneza simu ya kukaangia mayai?
Asante chief
 
Back
Top Bottom