akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,157
Issue ni pale unapoona mwenza amehisha mapenzi kwenye simu. Mtu yupo bize na simu hadi inaboa, so hapo lazima mtu atakuwa na doubts, na kujaribu kufanya "uchunguzi yakinifu".Hbr yenu wakuu
Nawaalika tujadili kwa pamoja kama ni vyema Mke na mume kukaguana simu.
Nijuavyo Mimi simu ya kiganjani ni Mali binafsi kwa matumizi binafsi na haipaswi kutazamwa na mtu asiye mmliki pasi ya ruhusa ya mmiliki.
Wewe unasemaje?
Nikishaoa naweka sim ya mezani.
Laiti watu wote wangekuwa kama wewe
IBM, big up kwako. Maana umeachia kwa uwazi kbs atumie akijisikia
Nenda jkt kozi ya hiari. Heshima itakuwepo tuu
Hahaha ndoa bila michepuko inawezekana??Tanzania unakuta mtu yupo ktk ndoa ana michepuko mitano kati ya hiyo miwili nayo ipo ktk ndoa ukija fuatilia michepuko ya hao wengine pia utaona bora kusiwe na ndoa maana utulivu ni sifuri.