Simu ya Kifo

nimetoka kapa

Simu ya kifo ilikuwa ni kitabu cha riwaya enzi zile kabla digitali haijaingia nchini mwandishi wake alikuwa huyo katambula na hapo ilikuwa ni uzinduzi wa hicho kitabu
 
Asante sana riwaya nzur inafikirisha haichoshi kuisoma
 
Asante sana mkuu. Lakini kwenye copy ya kitabu hicho kuna herufi za Kijerumani zisizofahamika. Nani kanipa kitabu kamili cha SIMU YA KIFO kwa Kiswahili? Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…