Simu ya iPhone 5 iliyo lokiwa na apple ID naweza ku-iflash ?

Bijou

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,249
Reaction score
360
MTU aki dondosha au kuibiwa simu hiyo, ambayo ina password YA simu NA Apple ID password, je aliyekota/iba anaweza i flash NA kuweza itumia? Ufafanuzi tafadhali
 
MTU aki dondosha au kuibiwa simu hiyo, ambayo ina password YA simu NA Apple ID password, je aliyekota/iba anaweza i flush NA kuweza itumia? Ufafanuzi tafadhali

kwa huo mwandiko achana na hizo simu kabisa kwani utapoteza pesa tu, flush ndio nini?
 
Kwa nnavyojua from iphone 5 hapo kwenda juu ndo cmu pekee ambazo hata zikiflashiwa ile lock inarudi tena kuifanya iwe useless mpaka apatikane mwenye cmu.

Thou kwenye ulimwengu huu wa sasa its just a matter of time watakuja pata njia za kuzifungua.
 
Ni kwa simu yoyote ya apple inayokubali icloud sio kuanzia iphone5 maana hata iphone 4 ukiifunga na icloud hakuna wa kuweza kuifungua zaidi yako
 
Na kwa kutumia Find iPhone app unaweza kujua ilipo hata kama ipo nje ya nchi au sehemu nyengine yoyote nchini kama ni mbali na sehemu ulipo.
 
Ni kwa simu yoyote ya apple inayokubali icloud sio kuanzia iphone5 maana hata iphone 4 ukiifunga na icloud hakuna wa kuweza kuifungua zaidi yako

Sio kweli kwamba ni simu yoyote yenye icloud.. Kuna versions za iOs that can be bypassed
 
MTU aki dondosha au kuibiwa simu hiyo, ambayo ina password YA simu NA Apple ID password, je aliyekota/iba anaweza i flash NA kuweza itumia? Ufafanuzi tafadhali

Unataka kununua au tayari umeshainunua?
 
Sio kweli kwamba ni simu yoyote yenye icloud.. Kuna versions za iOs that can be bypassed

Nitajie simu unayoijua wewe ambayo unaweza kubaipass icloud sitaki unitajie simu za zamani yaani 2g na 3gs
 
Usipende kukariri unachokisikia na pia unaonekana unapenda ubishi na sipo tayari kwa hilo. Kama kweli ungekuwa unahitaji kuongeza uelewa wako kuna namna ya kuuliza sio kujifanya unajua zaidi
 
Kuna mtu aliibiwa kigamboni iPhone 5S tangu mwezi mwa nne mwaka huu,tangu mwezi wa 6 amekuwa akipigiwa na watu mbalimbali wakitaka kumuuzia simu yake kwa 250,000 naye alikuwa anakaa,mwishowe last week akawamata wakitaka muuzia simu yake,kwani alichukua askari kwenda kuununua
 
Huwezi ku-bypass icloud kuanzia iphone 4.
Usipende kukariri unachokisikia na pia unaonekana unapenda ubishi na sipo tayari kwa hilo. Kama kweli ungekuwa unahitaji kuongeza uelewa wako kuna namna ya kuuliza sio kujifanya unajua zaidi
 
iphones ikiwa locked ..ukiokota kampe mwanao achezee kama toy tu
 
MTU aki dondosha au kuibiwa simu hiyo, ambayo ina password YA simu NA Apple ID password, je aliyekota/iba anaweza i flash NA kuweza itumia? Ufafanuzi tafadhali

Kuna mwenzako iPhone 5s ilikua locked na aliuza Elfu 50
 
Back
Top Bottom