privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,448
- 1,290
Huwezi ku-bypass icloud kuanzia iphone 4.
Only if it is iOs 7 or later. 'Only if'
Huwezi ku-bypass icloud kuanzia iphone 4.
Usipende kukariri unachokisikia na pia unaonekana unapenda ubishi na sipo tayari kwa hilo. Kama kweli ungekuwa unahitaji kuongeza uelewa wako kuna namna ya kuuliza sio kujifanya unajua zaidi
Only if it is iOs 7 or later. 'Only if'
Kuna ushuhuda mwingineKuna mtu aliibiwa kigamboni iPhone 5S tangu mwezi mwa nne mwaka huu,tangu mwezi wa 6 amekuwa akipigiwa na watu mbalimbali wakitaka kumuuzia simu yake kwa 250,000 naye alikuwa anakaa,mwishowe last week akawamata wakitaka muuzia simu yake,kwani alichukua askari kwenda kuununua