Aisee google wametisha kinomaa

Aisee google wametisha kinomaa

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,283
Reaction score
2,590
๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐˜€ ๐—ธ๐˜‚๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐˜๐—ถ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ

GoogleEarbuds.jpg


Google kupitia utafiti waliofanya kuhusu audioplethysmography (APG) wameweza kuongeza feature Kwenye Earbuds na headphones uwezo kuzuia kelele na kupima mapigo ya moyo.


Google wamesema " kupitia ear Canal [emoji101] mfereji mdogo uliopo sikioni wenye kina kirefu wa kusambaza taarifa sehemu mbalimbali za mwili kupitia mishipa iliyopo ndani ya sikio Tunaweza kufanya mambo mengi ndani yake."

View attachment 2796898

Audio plethysmography inafanya kazi kupitia Earbuds ambazo zimewekwa mfumo wa Anc Kwenye speaker za Headphones au Earbuds ambazo watu wanavaa.

inafanya kazi ya kupima mapigo ya moyo kama yanakwenda Kasi, yameshuka au Yako kawaida wakati mtu anasikiliza Audio (muziki,mawaidha,dini, injiri) nk wakati umevaa sikioni.

View attachment 2796897

Pia inakupa nafasi ya kuweza kuzuia kelele za pikipiki,gari, watu, wanyama au mazingira wakati unaongea na simu kupitia Earbuds za Google hivyo na kufanya kusikiliza kitu bila shida yoyote.

View attachment 2796899

watumiaji wa pixel buds wataweza kujua afya mbalimbali kuhusu mwili wako kupitia Earbuds ulizoweka sikioni.
 
Always wafanyabiasha hutangaza bidhaa zao kwa ufanisi mkubwa kwa kueleza mazuri tu ya bidhaa husika huku wakiweka mbali madhara ya matumizi ya bidhaa husika ili kujilinda kimaslahi, yani punda afe mzigo uwasili.
 
Wengi watakataa hata ambao hawajawahi kuziona, binafsi nina Pixel Buds Pro, technology iliyotumika ni next level.
1539997292.jpg
2035111094.jpg
190500814.jpg
 
Back
Top Bottom