Simu ya chuma

Kamaka

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
563
33
Jamaa mmoja alifika kazini akiwa na bandeji kwenye masikio yote mawili,bosi akamuuliza ilikuwaje akajibu eti alikuwa anapasi simu ikaita badala ya kupokea simu akapokea pasi ya moto,bosi akamuuliza hapo sawa je sikio la pili imekuaje? Jamaa akajibu si alibidi nimpigie daktari nikatumia la pili!!
 
Back
Top Bottom