mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 222
Mwambie Dingi yako hivi KATAA NDOA, ndoa ni ndoano.Baba: calling --------------
Mimi: Hallow shkamoo mzee wangu
Baba: Marahaba hujambo
Mimi: Mimi sijambo mzeee vipii huko wazima ?
Baba: Huku wazima tumetingwa nakilimo hapa vipii wew mbona sikuelew simu hupigi adi mimi nikupigie sio huna vocha au
Mimi: Aaaah$$,$:!Apana nisamehe baba huwa nipo busy mara nyingi
Baba: Sawa sasa unasubili mpaka nife ndo uoe fanya mpango basi 😎
Mimi : Usijali baba mwaka hauishi nawaleteaa 🤣🤣
Baba : Changamka bhana unaniangusha mtoto wa mzee kanyara yule anawatoto wawili we upo tyu unazungua mshenz wew 😎hivi uchangamke 🤬
Baba: Call ended
sio kweli bado sijaoaAliyeanzisha kampeni ya "Kataa ndoa" anawanawake wawili. Msidanganyane mitandaoni
Haaaa akisha kaa kwenye misimamo huwez mchomoaaa 😂Mwambie Dingi yako hivi KATAA NDOA, ndoa ni ndoano.
nani huyo anaandika kataa ndoaBaba: Sawa sasa unasubili mpaka nife ndo uoe fanya mpango basi 😎
Mimi : Usijali baba mwaka hauishi nawaleteaa 🤣🤣
Huyuhuyu kijana ndo yupo JF Kila Uzi anaandika kataa ndoa.. ndoa uhuni...ndoa usanii😎
Acha kufaninisha mbususu na vitu vya kijinga:Kwa kweli nakataa ndoa ila napend mbususu"