Ulukolokwitanga JF-Expert Member Sep 18, 2010 8,396 7,968 Jul 21, 2012 #21 Habari za asubuhi Miraj Kikwete...
Ritz JF-Expert Member Jan 1, 2011 47,065 32,489 Jul 21, 2012 #22 Chadema siku hizi wapo kama mtoto yatima kila siku kulia lia...binadamu tumepewa vichwa kwa ajili ya kufikiri na sio kufuguia nywele.
Chadema siku hizi wapo kama mtoto yatima kila siku kulia lia...binadamu tumepewa vichwa kwa ajili ya kufikiri na sio kufuguia nywele.
Leak JF-Expert Member Feb 22, 2012 52,214 42,085 Jul 21, 2012 #23 Burn Karudi said: Kichwa kazi yake sio kuota nywele tu, Click to expand... yan umenichekesha leo ulivyo kuwa unaongea na waandishi yan nilishindwa kukutofautisha na mtoto wa darasa la pili. Laana ya mauji ni mbaya sana. Nitakuwa na kukumbusha kutubu kila siku. Mwingulu umejaa laana hadi maongezi,naomba ni kupeleke kanisani kesho.
Burn Karudi said: Kichwa kazi yake sio kuota nywele tu, Click to expand... yan umenichekesha leo ulivyo kuwa unaongea na waandishi yan nilishindwa kukutofautisha na mtoto wa darasa la pili. Laana ya mauji ni mbaya sana. Nitakuwa na kukumbusha kutubu kila siku. Mwingulu umejaa laana hadi maongezi,naomba ni kupeleke kanisani kesho.
kingxvi JF-Expert Member Feb 11, 2011 879 151 Jul 21, 2012 #24 hakuna point hapa marando amebwabwaja tu awaaminishe wavivu wa kufikiri.