Simu - Wabunge Chadema wafanyiwa ujasusi, mtoto wa kigogo CCM ahusika

Chadema siku hizi wapo kama mtoto yatima kila siku kulia lia...binadamu tumepewa vichwa kwa ajili ya kufikiri na sio kufuguia nywele.
 
Kichwa kazi yake sio kuota nywele tu,
yan umenichekesha leo ulivyo kuwa unaongea na waandishi yan nilishindwa kukutofautisha na mtoto wa darasa la pili.

Laana ya mauji ni mbaya sana.
Nitakuwa na kukumbusha kutubu kila siku.

Mwingulu umejaa laana hadi maongezi,naomba ni kupeleke kanisani kesho.
 
hakuna point hapa marando amebwabwaja tu awaaminishe wavivu wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom