Simu Simu Simu!!!

Simu Simu Simu!!!

Joined
Nov 24, 2014
Posts
45
Reaction score
18
Heshima zenu wadau..

Nimeibiwa simu yangu wazee, sikutunza Imei zake ili niweze kupata msaada wa kutrack. je kuna anajua ujanja mwingine ambao naweza kupata hiyo simu? msaada tafadhali!! Ni tecno N2 ina few month since i bought. Pia kama kuna mtu ana used ktk gud condition aniuzie. ikiwa sumsAng itakuwa gud.
 
Ipo tecno w3 mkuu ktk good condition 4G ndani yake inataka 150k tu
 
Pia nauza hy tecno y 3 kwa sh 50000 tu anaetaka anipm sure ni nzma ila now nnanjaa.
 
Ipo tecno w3 mkuu ktk good condition 4G ndani yake inataka 150k tu
Dukani atapata tecno W4 mpya kabisa ambayo ni advanced zaidi kushinda hiyo w3 yako na warranty ya miezi 12 kwa hiyo bei.
 
Heshima zenu wadau..

Nimeibiwa simu yangu wazee, sikutunza Imei zake ili niweze kupata msaada wa kutrack. je kuna anajua ujanja mwingine ambao naweza kupata hiyo simu? msaada tafadhali!! Ni tecno N2 ina few month since i bought. Pia kama kuna mtu ana used ktk gud condition aniuzie. ikiwa sumsAng itakuwa gud.
Mkuu nina note 1sumsung 180000 nakuachia ni nzima kabisa
 
Back
Top Bottom