Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
Naombeni msaada wa mawazo kwa cmnzuri kwa budjet ya 250000 ,yenye ubora ,uimara na camera nzuri.
Naombeni msaada wa mawazo kwa cmnzuri kwa budjet ya 250000 ,yenye ubora ,uimara na camera nzuri.
Kama mama yakoTecno zimetengenezwa kwa ajiri ya washamba
Tecno zimetengenezwa kwa ajiri ya washamba
usikutee ww mshamba kuliko hata mm ninae taka kununua tecnoTecno zimetengenezwa kwa ajiri ya washamba
Ila ujuwe mkuu washamba wengi ndio tuna hela humu duniani..!Tecno zimetengenezwa kwa ajiri ya washamba
asante dearSpark K7, thank me later