Acha porojo wewe tecno ya nchi gani kwanza? maana tukienda china hatuzioni. Au wao wanawatengenezea tu nyie washamba wenyewe wanatumia zingine zenye sifaHuyo anaeita wenzake washamba anajua maana yake au analopoka tu mleteni huku nimnyooshe

Ongeza 30k nikupe Tecno spark k9+ ikiwa kwenye box kwa maana mpya yaani mtumiaji wa kwanza ni wewe.Naombeni msaada wa mawazo kwa cmnzuri kwa budjet ya 250000 ,yenye ubora ,uimara na camera nzuri.
Hii si ya kuiachaOngeza 30k nikupe Tecno spark k9+ ikiwa kwenye box kwa maana mpya yaani mtumiaji wa kwanza ni wewe.
Ukivutiwa ni pm
ninayo hiyo hiyo kiongoziOngeza 30k nikupe Tecno spark k9+ ikiwa kwenye box kwa maana mpya yaani mtumiaji wa kwanza ni wewe.
Ukivutiwa ni pm
nimepata k9+ mpyaa. Kwa 25k na ni nzuri balaa.Ongeza 30k nikupe Tecno spark k9+ ikiwa kwenye box kwa maana mpya yaani mtumiaji wa kwanza ni wewe.
Ukivutiwa ni pm
asanteni nimepata spack k9+ kwa 25kTekno k7