Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,482
- 8,657
kwa budjet yako kachukue samsung j2
asante ngoja nijitahidiOngeza ela uchukue at least CX, hizo za bei chee pasua kichwa!
We mjanja unatumia simu gani?Tecno zimetengenezwa kwa ajiri ya washamba



Mama anaingiaje tena mkuu!Kama mama yako
asante ngoja nikatafutetecno w5 finger print na tecno spark 7
baba jayden kabana kakaSuper women kutumia tecno ndo nini!!!![]()
l8 plus
ntaenda kuangaliakwa budjet yako kachukue samsung j2
spack naambiwa 280k..tecno w5 finger print na tecno spark 7
Mi mmojawapousikutee ww mshamba kuliko hata mm ninae taka kununua tecno
anajishauwa tu.usikute anatumia tecno ya tochi.atuache na tecno zetu😀😀😀Huyo anaeita wenzake washamba anajua maana yake au analopoka tu mleteni huku nimnyooshe
mmoja wapo wa???Mi mmojawapo
Tekno k7
Mkuu Mimi ni muuzaji wa simu ntakupa tecno spark kwa 220000 nipo tanga ntakutumia ulipo kwa garama zangu hadi ubungo ikifika ndo unalipia silid na glass protecta juuNaombeni msaada wa mawazo kwa cmnzuri kwa budjet ya 250000 ,yenye ubora ,uimara na camera nzuri.
Mkuu Mimi ni muuzaji wa simu ntakupa tecno spark kwa 220000 nipo tanga ntakutumia ulipo kwa garama zangu hadi ubungo ikifika ndo unalipia silid na glass protecta juu