Simu nzuri ya sh laki4 ni ipi

Simu nzuri ya sh laki4 ni ipi

Sony Xperia C5 Ultra
Water resistant, Noise Cancelation, Camera megapixel kama zote hv Selfie kali NK.
 
HTC One M9 ....achana na mabapa ya Samsung ...hayo wanatumia wadada ...mtoto wa kiume tumia simu portables mfano kama iPhone 6 plain hivi ....HTC one m9 ipo portable ...market price 450K ....kama unaweza kuongeza hela panda chukua iPhone au Sony...hizo ndo brand za kiume Samsung mwachie dem wakko
 
nashukuru sana kwa ushauri wenu nimenunua galaxy s6 kwa 450k naitumia hapa mida hii simu iko poa sana sijajutia pesa yangu
 
nashukuru sana kwa ushauri wenu nimenunua galaxy s6 kwa 450k naitumia hapa mida hii simu iko poa sana sijajutia pesa yangu
chaji ni kama masaa mangapi data ikiwa on tangu umeitoa kwenye charger?
 
itakuwa hayazidi masaa 4
nimesha kataa utumwa wa kufungamanishwa na chaja ama powerbank kila niendako kama simu ina sifa zoote ila inakosa sifa ya kukaa na chaji hiyo sigusi kabisa.
 
Back
Top Bottom