Kamera ya mbele ni 5 MP na Kamera ya nyuma ni 8 MP
RAM yake ni 1.5 GB
ROM yake ni 16 GB
Inatumia laini 2
Betri 2600maH
Unaweza kutumia internet kwa zaidi ya saa 10
Unaweza kucheza nyimbo za AUDIO kwa saa 60
Unaweza kuangalia VIDEO kwa saa 14
Na kuongea kwa zaidi ya masaa 18