Simu na mziki kwenye gari

Simu na mziki kwenye gari

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,906
Reaction score
2,699
Nipo kwenye daladala hapa Dodoma. Gari inapiga mziki mzuri ila kuna jamaa yupo smart katika mavazi ila cha kushangaza kafungulia mziki kwenye simu yake kwa sauti kubwa. Nini maana yake hii kitu au ni ushamba?
 
Nipo kwenye daladala hapa dodoma. Gari inapiga mziki mzuri ila kuna jamaa yupo smart katika mavazi ila cha kushangaza kafungulia mziki kwenye simu yake kwa sauti kubwa. Nini maana yake hii kitu au ni ushamba

utajuaje na miliki simu tena samsung galaxy chezea S I wewe..
 
Si bora hata ingekua smartphone. Bonge la mchina na speaker inayokorama utazani Ina mafua

Halafu utakuta hizo za kichina zina pot za earphones; hata ukiweka hiyo phone bado inanaendelea kutoa sauti zote 2!
 
muache jamaa ale mziki ujawai kumwona mtu anatumia PC kwenye dalala ata kwetu wapo
 
Nipo kwenye daladala hapa Dodoma. Gari inapiga mziki mzuri ila kuna jamaa yupo smart katika mavazi ila cha kushangaza kafungulia mziki kwenye simu yake kwa sauti kubwa. Nini maana yake hii kitu au ni ushamba?

Mwache ajinafasi. Kwani huo mziki wa kwenye gari ni lazima na yeye aupende? Mziki wa kwenye gari uzimwe ili msikilize wa kwake.
 
sasa mtajuaje kama ana kitu adimu toka ugogoni ? hao ndo wazee wa idodomya tena pande za chako ni chako au nzuguni.na kama huamini nenda kapige misele kidogo walau dk 5 pale nyerere square utawaona wengi xana.
 
Nawajua tabia zao hawa watu. Huyu wa leo katokea Kikuyu
 
Mwache ajinafasi. Kwani huo mziki wa kwenye gari ni lazima na yeye aupende? Mziki wa kwenye gari uzimwe ili msikilize wa kwake.

Kwenye gari zinapigwa hizi nyimbo za waislamu kama sijakosea zinaitwa Kaswida na yeye kafungulia nyimbo ya kuabudu
 
Nawajua tabia zao hawa watu. Huyu wa leo katokea Kikuyu

tena usiombe waeke nyimbo za magamba (za komba) wakti wa kampeni , yaani ndo hadi kichwa kitakuuma au unaweza hairisha safari au kukata tiketi kwa basi lingine, lakini wewe msamehe bure kwani hayo ndo mavuno yao waliowengi baada ya kupata mafao ya uomba omba maeneo ya jamatini au crdb . bony voyage abandugu
 
Asante bandugu
 
ooh ok basi kumbe kuna sababu ya msingi, huyo jamaa sio mwehu wala limbukeni kama alivyoshambulia, alitaka kuonyesha yeye sio wa dini hiyo na hana interest ya kusikiliza, ndio maana akaona kuliko amwambie abadilishe bora aanzishe naye ya ladha yake, ukweli ni kwamba kwenye vyombo vya usafiri na kwenye mkusanyiko sio ustaarabu kuweka nyimbo tena za dini za dini fulani. kifupi inakera kumlazimisha mtu asie dini fulan kusikiliza nyimbo za dini ingine.
Kwenye gari zinapigwa hizi nyimbo za waislamu kama sijakosea zinaitwa Kaswida na yeye kafungulia nyimbo ya kuabudu
 
ooh ok basi kumbe kuna sababu ya msingi, huyo jamaa sio mwehu wala limbukeni kama alivyoshambulia, alitaka kuonyesha yeye sio wa dini hiyo na hana interest ya kusikiliza, ndio maana akaona kuliko amwambie abadilishe bora aanzishe naye ya ladha yake, ukweli ni kwamba kwenye vyombo vya usafiri na kwenye mkusanyiko sio ustaarabu kuweka nyimbo tena za dini za dini fulani. kifupi inakera kumlazimisha mtu asie dini fulan kusikiliza nyimbo za dini ingine.

Mkuu ingekuwa sawa kama angeiwasha baada ya kuingia kwenye gari ila kuanzia nje ilikua inaimba hadi aningia kwa bus
 
Back
Top Bottom