Simu kwa ajili ya Matumizi ya Kibiashara

Simu kwa ajili ya Matumizi ya Kibiashara

Mi natumia Samsung s4,ila nishaanza kutamani window phone naona mkuu chief-mkwawa ananishawishi sana,natamani hizi nokia LUMIA nimepita shop moja duh!of nilikuwa influenced sana,i don know ni tamaa or not but moyo wangu unakua kama unahtaji window phone kwa kweli!
 
Mkuu kwa Tanzania jiwahi na tecno! Acha kuumiza kichwa! Vinginenvyo jipige Blackberry z30
 
Mi natumia Samsung s4,ila nishaanza kutamani window phone naona mkuu chief-mkwawa ananishawishi sana,natamani hizi nokia LUMIA nimepita shop moja duh!of nilikuwa influenced sana,i don know ni tamaa or not but moyo wangu unakua kama unahtaji window phone kwa kweli!

subiria simu za wp8.1 zitazidi kuwa nzuri kuliko hizi za sasa za wp8
 
hapa kunazungumziwa simu ya biashara unafkiri kwa nini tecno ni simu ya biashara?

Inategemea ni biashara gani; maana kuuza ukwaju pia ni biashara; tecno ndio suluhisho pekee kwa mdau kwa kigharama hana laki 8 au 9 za kununua simu ya kibiashara vinginevyo anunue blackberry z30
 
Tukiwa na wadadavuazi 10 kama wewe basi JF itakuwa na great thinkers wa ukweli kutokana na elimu unayotoa bila mikwaruzo!

Ahsante sana baada ya kukugongea like!

kaka sijajua biashara yako ni ipi ila nitajaribu kukuelezea why sishauri android na why nilikazania bidhaa za apple na lumia na hizi tab za windows.

why android haifai kwenye biashara.

1.fragmentation kubwa sana ipo kwenye android
ni kawaida kuambiwa kitu fulani kinarun simu moja ya android ila hakirun simu nyengine. fragmentation ipo kwenye hardware (snapdragon + adreno, exynos + mali, nvidia, mediatek + power vr na wengine), software ( touchwiz, sense...), apps (knox ya samsung na lg ni tofauti) na vitu vingi. hivyo ni rahisi kusoma tutorial ya kitu fulani halafu isikubali simu yako.

2.malware
android ina spyware na adware na kila aina ya malware. malware wa siku hizi wapo smart tofauti na wale wa windows wao wanajua kuiba data na kukuwekea matangazo.

3. reliability
kutokana na fragmentation na os isiyokuwa optimized na hardware android sio os ya kutegemea. inaweza kuwa slow mda wowote, au ikanata hadi urestart simu au upo katikati ya kitu muhimu ikakuzingua.

4. kukosekana office apps
apps za office za android unaweza kusoma tu ila linapokuja suala la kutengeneza inakuwa ngumu na printer nyingi hazipo compatible moja kwa moja.


kwa nini lumia na iphone ni nzuri
lumia inakuja na microsoft office na nokia wanakuekea apps kama beamer na nyenginezo za presentation ambazo zinakupa experience nzuri. humu hakuna malware wengi na pia utaweza kuintergrate soft zako za pc na simu

iphone bila shaka ndio best kwa biashara. ina ecosystem kubwa na inatumika dunia nzima sababu ni nadra kuikuta ipo slow, hainati nati, hakuna fragmentation, ipo limited inakuwa ngumu mtu kukuspy. sema hii nayo bei ni kubwa.

tab za windows
tablet kama dell venue 8 pro inakaa na chaji masaa 10 inarun full windows 8.1 inakubal software zote za biashara na pia inakuja na office full hutahitaji kununua wala kucrack. ishu za kuprint au kuedit picha au kazi zozote zako utafanya kama unavyofanya kwenye pc.

yenyewe ina inch 8 tu ni ndogo kuliko galaxy tab 10 na pia ni very powerfull. na kizuri zaidi unaipata kuanzia dola 250 ambayo ni cheap sana.
 
sio mbaya hio bei ukizingatia ni moja kati ya simu yenye design nzuri kupata kutokea. ila kabla hujanunua mwambie jamaa akuachie uitumie kwanza uone kama utaipenda os ya windows phone

Mkuu Mkwawa hiyo Lumia 1320 vipi itafaa? Make nimeicheki kwa Arusha nako ni kilo 7.
 
Last edited by a moderator:
kama hizi Lumia 920, 820 n.k hazitakuwa na Updates ya 8.1 basi hakuna haja ya kununua.

simu zote kuanzia lumia 520 hadi 1520 zitapata wp8.1, just nafkiria tu hardware zitakuwa za kizamani akinunua simu ya wp8.
 
Mkuu Mkwawa hiyo Lumia 1320 vipi itafaa? Make nimeicheki kwa Arusha nako ni kilo 7.

kama hutojali nitajie aina za vitu unavyotaka kufanyia hata kwa pm niambie then nitakuhakikishia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom