Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,780
- 13,696
Hili ni jukwaa la habari mchanganyiko...tatizo liko wapi?Sasa humu whatsap mkuu au umevuta?
*A.Alaykum Wanagroup..*
Kwa kuwasaidia..ikiwa mtu hataki hizi picha za humu ndani zinazotumwa.zisiingie Gallery kujaza gallery.
Nenda kwenye option juu kwenye
*jina la group mkono wa kulia..utaona dots 3...ukibonyeza hizo dots itakujia group info..bonyeza neno *group info* itakujia
*-Mute notification*
*-Custom notification..*
*-Media visibility*
Bonyeza hiyo *Media Visibility..*
Itakujia
*Default*
*YES*
*NO*
BONYEZA HIYO *NO*
ITAKUWA PICHA ZOTE NA VIDEO ZINABAKI KWENYE GROUP TU.HAZIINGII GALLERY KUJAZA SIMU YAKO.

Shukrani mkuu
Tuko pamoja mkuuAhsante mkuu
Muongo muongoze tu mkuu hadi hapo aliyevuta ashajulikana.Hili ni jukwaa la habari mchanganyiko...tatizo liko wapi?
Sijui PSG leo usiku itapona
Sijui PSG leo usiku itapona
we huoni tatizo?Hili ni jukwaa la habari mchanganyiko...tatizo liko wapi?