Wana jf naomba mnisaidie jinsi ya kutumia simu kama mordem!
Wana jf naomba mnisaidie jinsi ya kutumia simu kama mordem!
Shukrani sana kaka lakini simu yangu ni samsungkama una nokia download kwa pc ovi suite...then utakuta kuna sehemu ya kukonect..but ur phone inabidi iwe konekted kwa pc. Either through cable au bluetooth.. Vile vile kuna apps kama joiku itakuwezesha kutumia wireless connections..https://www.jamiiforums.com/tech-ga...pp-ambazo-hutakiwi-kuzikosa-za-symbian-4.htmlthen link ya kuipakua ipo kwenye hiithreadhttps://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/241720-joikuspot-wanted.html
Samsung galaxy mini
but i dont have that program on my pc!connect simu kwa usb cable, kisha nenda>Settings>Wireless & Networks>Tethating and Mobile Hotspotkisha tick kibox cha USB tethering subiri muda kidogo mpaka computer itambue kua iko connected na Network.then anza ku enjoy
Kanunue mdem sh 15,000 pale zantel zipo katika promotionWana jf naomba mnisaidie jinsi ya kutumia simu kama mordem!
but i dont have that program on my pc!
Mimi natumia Macbook Pro 2000 na simu yangu ni Nokia E71 nafanyaje?
Wana jf naomba mnisaidie jinsi ya kutumia simu kama mordem!