SIMU JANJA : Budget Tshs 400,000/= mpaka 500,000/=

Baraker_88

Member
Joined
Nov 7, 2021
Posts
35
Reaction score
88
Habari wadau, nataka kumnunulia mtu simu janja, mwenye uzoefu wa simu janja nzuri kuanzia uwezo mzuri wa camera, ukubw RAM/ROM, na kukaa na chaji naomba anishauri simu ipi naweza kununua!
Isiwe Tecno/Infinix

Budget yangu about Tshs 500,000/=
Naomba kuwasilisha
 
Me ningechukua iPhone 7 au 8 kama haupendi simu kubwa.

Inaweza kaa miaka 2-4 kuanzia leo.
 
Nenda Kwenye Hili Duka Kama Upo Dar Es Salaam 0746490000
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…